YouVersion Logo
Search Icon

Plan Info

Soma Biblia Kila Siku/AGOSTI 2023Sample

Soma Biblia Kila Siku/AGOSTI 2023

DAY 7 OF 31

Yaonekana ni maneno muhimu sana kwa Yesu, maana mara mbili anaanza na ”amin, amin” ambayo ni maneno ya kusisitiza.Amin, amin, nawaambieni, Msipoula mwili wake Mwana wa Adamu na kuinywa damu yake, hamna uzima ndani yenu(m.53). Mwana wa Adamu ni Yesu mwenyewe. Bila yeye hatunao uzima ndani yetu. Maana ya kula mwili wake na kunywa damu yake nikumwamini. Katika m.47 anasema,Amin, amin, nawaambia, Yeye aaminiye yuna uzima wa milele. Imani tunaipokea tukilisikia na kulishika neno lake. Siku hizi tunayo njia hii pia ya kushiriki katika Meza ya Bwana.

Scripture

Day 6Day 8

About this Plan

Soma Biblia Kila Siku/AGOSTI 2023

Soma Biblia Kila Siku Agosti 2023 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kuelewa somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu Yohana na Mithal...

More

YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy