YouVersion Logo
Search Icon

Soma Biblia Kila Siku/AGOSTI 2023Sample

Soma Biblia Kila Siku/AGOSTI 2023

DAY 11 OF 31

Bwana Yesu alifanya ishara nyingi. Kwa ishara alizozifanya alidhihirisha kwamba Ufalme wa Mungu umefika, upo na unatenda kazi. Ni ishara hizo zilizowafanya Wayahudi waliokuwa hawamwamini Yesu kupata mashaka kama kweli huyo kristo mwingine waliyemngojea ataweza kufanya ishara zaidi ya hizi alizozifanya Yesu.Wakasema, Atakapokuja Kristo, je! Atafanya ishara nyingi zaidi kuliko hizi alizozifanya huyu? (m.31). Je, wewe unamfuata Yesu kwa kuangalia nini? Ishara tu? Kumbuka, hata bila ishara Bwana Yesu anaweza kutufanya wana wa Mungu na warithi wa uzima wa milele tukimwamini yeye.

Scripture

Day 10Day 12

About this Plan

Soma Biblia Kila Siku/AGOSTI 2023

Soma Biblia Kila Siku Agosti 2023 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kuelewa somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu Yohana na Mithali. Karibu kujiunga na mpango huu.

More