YouVersion Logo
Search Icon

Plan Info

Soma Biblia Kila Siku/AGOSTI 2023Sample

Soma Biblia Kila Siku/AGOSTI 2023

DAY 31 OF 31

Kufundisha kwa mifano huleta ujumbe unaokumbukwa na wapokeaji. Maisha ya viumbe wa Mungu kama wadudu, wanyama na ndege hutunza mafunzo ya jinsi ya kuishi bila fadhaa. Viumbe hawa wanatumia mazingira yao kwa manufaa ya maisha yao kama vile ulinzi na chakula. Je, wewe unajifunza nini kutoka kwao? Kumbuka ni sisi wanadamu tu tulioumbwa kwa mfano wa Mungu. Hata hivyo viumbe hao si bila akili. Tujifunze kutojisifu bali kumtegemea Mungu. Kumtegemea ni tendo la kila mahali na wakati pia.

Day 30

About this Plan

Soma Biblia Kila Siku/AGOSTI 2023

Soma Biblia Kila Siku Agosti 2023 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kuelewa somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu Yohana na Mithal...

More

YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy