YouVersion Logo
Search Icon

Soma Biblia Kila Siku 6Sample

Soma Biblia Kila Siku 6

DAY 16 OF 30

Kitabu cha Mithali kina mawaidha yampatiayo msomaji busara na nidhamu ya kumcha Mungu. Na huko kumcha Mungu ni maarifa yanayozidi vitu vyote. Kufuata mafundisho ya Mithali hutuepusha na dhambi na mashirikiano na waovu, ambao hutamani hata kuwaua watu wema. Njia wanayoitumia ni kuwashawishi wajiunge nao katika uovu. Lakini hakuna lililositirika kwa Mungu. Hatima ya watenda mabaya wote ni maangamizi hayohayo wanayowaandalia wengine. Ujumbe wa somo hili ni kujiepusha na watenda mabaya.

Day 15Day 17