Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku /Desemba 2023Mfano

Soma Biblia Kila Siku /Desemba 2023

SIKU 27 YA 32

Kumfuata Yesu kuna gharama. Yesu alisema wazi,Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu(Yn 16:33). Maisha ya wafuasi baada ya Yesu kupaa hayakuwa rahisi! Wengine walikufa kwa upanga au kuchomwa moto, au walipigwa mawe kama Stefano. Hata hivyo waliendelea kumshuhudia Yesu. Ndiyo maana tunawakumbuka kama wafia dini. Basi, tukisongwa na shida kwa ajili ya imani yetu, tusimwache Yesu, maana Yesu ameahidi,Kila mtu atakayenikiri mbele ya watu, nami nitamkiri mbele za Baba yangu aliye mbinguni(m.32).

siku 26siku 28

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku /Desemba 2023

Soma Biblia Kila Siku /Desemba 2023 ni mpango mzuri wa kusoma biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Desemba pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Matendo ya Mitume. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/