Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku /Novemba 2023Mfano

Soma Biblia Kila Siku /Novemba 2023

SIKU 19 YA 29

Kulalamika ni dalili ya kukata tamaa na siyo suluhisho la matatizo yetu. Waisraeli walilalamika wakifikiri wamefika mwisho; mbele kuna bahari na nyuma kuna maadui. Musa aliwatia moyo akisema, Msiogope, endelea mbele (m.13:Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa Bwana atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele). Walimwamini Mungu na Musa kiongozi wao wakavuka salama. Kama Mungu alivyowaokoa watu wake mikononi mwa adui, ndivyo anavyotuokoa hata sisi. Huu ni ukweli, maanaMungu akiwapo upande wetu, ni nani aliye juu yetu(Rum 8:31)? Tumtegemee Mungu,yeyeatafanya. Rudia m.13 ukizingatia maana yake katika maisha yako.

siku 18siku 20

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku /Novemba 2023

Soma Biblia Kila Siku /Novemba 2023 ni mpango mzuri wa kusoma biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Novemba pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Kutoka na Warumi. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/