Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku / Oktoba 2023Mfano

Soma Biblia Kila Siku / Oktoba 2023

SIKU 24 YA 31

Ndipo wale watu wakamwogopa BWANA mno, wakamtolea BWANA sadaka, na kuweka nadhiri(m.16). Sababu ni Yona kukiri dhambi yake na kupendekeza wamtupe baharini ili wengine wapate kuokoka. Alivyomshuhudia Bwana iliwafanya mabaharia kuacha miungu yao na kumwamini Bwana. Hata walimheshimu Yona kwa kutaka kumwokoa, na walimwomba Bwana kabla ya kufuata shauri la Yona. Tuwe wakweli kama Yona, hata kuhusu makosa yetu. Haitawafanya watu kumdharau Mungu wa kweli bali kuwavuta kumwamini katika Yesu, Bwana wetu.

siku 23siku 25

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku / Oktoba 2023

Soma Biblia Kila Siku /Oktoba 2023 ni mpango mzuri wa kusoma biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Oktoba pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha