Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku / Oktoba 2023Mfano

Soma Biblia Kila Siku / Oktoba 2023

SIKU 25 YA 31

Jinsi zilivyo kuu utajili na heshima na maarifa ya Mungu, hukumu zake hazichunguziki wala njia zake hazitafutikani(Rum 11:33). Imani ya Yona ilikua katika kuangamia kwake. Mungu alipolinda uhai wa Yona kwa kumtuma samaki mkubwa ammeze, Yona arudiwe na ufahamu wake ndani ya samaki. Tendo la Mungu lilimsababisha aamini kuwa ilikuwa ni njia ya Mungu kumwokoa. Katika matumaini haya alitoa shukrani kwa Mungu. Naye Mungu alimtoa tumboni mwa samaki. Mungu si mtenda miujiza tu, ni mwema pia.

siku 24siku 26

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku / Oktoba 2023

Soma Biblia Kila Siku /Oktoba 2023 ni mpango mzuri wa kusoma biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Oktoba pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/

Mipangilio yanayo husiana

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha