Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku / Oktoba 2023Mfano

Soma Biblia Kila Siku / Oktoba 2023

SIKU 23 YA 31

Kwa kuwa tunatambua ukuu, uweza na mamlaka ya Mungu, yatupasa kuwa watii kwa atuamuruyo. Yona, licha ya kukataa wito wa Mungu, alikimbia kuelekea upande mwingine. Alipanda meli ya kuelekea Tarshishi badala ya Ninawi. Kwa wema wake, Mungu alitaka kumrudisha Yona, kwanza kwa ishara na maajabu baharini. Alituma upepo mkali uliotisha kuizamisha meli. Mabaharia wasio Waebrania waliililia miungu yao na kumtaka Yona amwombe Mungu wake. Tujifunze kuwa Mungu yupo mahali popote, hawezi kukimbiwa au kufichamwa.

Andiko

siku 22siku 24

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku / Oktoba 2023

Soma Biblia Kila Siku /Oktoba 2023 ni mpango mzuri wa kusoma biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Oktoba pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha