Mafunzo ya YesuMfano
Msikiaji Na Mtendaji
Yesu atuambia tunahitaji kujenga maisha yetu karibu na yeye.
Swali 1: Nini inapaswa kuwa msingi wa maisha yetu? Ni nini ndio mchanga ambayo wengine
hujengea maishani mwao?
Swali 2: Tunawezaje kuwekea maisha yetu ya Ukristo msingi imara? Kwa vitendo, hata kwa
kuungama.
Swali 3: Utofauti kati ya mjenzi mwerevu na mjenzi mpumbavu ni kwamba wote walisikia
maneno ya Yesu, ni yule mwerevu pekee aliyetii. Unaweza kufanya nini ili kuhakikisha kwamba
husikii tu bali unafanya yale Yesu anasema?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Yesu alifunza kuhusu mada nyingi- baraka zinazodumu, uzinzi, maombi na mengi zaidi. Ina maana gani kwa watu wa leo? Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.
More
Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg