Mafunzo ya YesuMfano
Msiwe Na Wasiwasi
Yesu atuambia tusiwe na wasiwasi kwasababu atasimamia mahitaji yetu yote.
Swali 1: Eleza wasiwasi kwa kutoa mfano, alafu kisha kwa kiasi gani wasiwasi inaweza badilisha
maneno?
Swali 2: Kwa vile Mungu ni mkarimu kuzipa nyasi za kondeni maua mazuri za kupendeza,
ambazo hupotea, kuna thamani gani kuwa na wasiwasi kwa kile atatutendea?
Swali 3: Unaamini kiasi gani kwamba ukitafuta kwanza Ufalme wa Mungu na haki yake, utapa
vyote?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Yesu alifunza kuhusu mada nyingi- baraka zinazodumu, uzinzi, maombi na mengi zaidi. Ina maana gani kwa watu wa leo? Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.
More
Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg