Mafunzo ya YesuMfano
Ombi la Bwana
Yesu atufunza jinsi tunapaswa kuomba.
Swali 1: Tunajuaje Mungu anasikia maombi ya watu?
Swali 2: Ni wapi na kwa jinsi gani ulijifunza kuomba?
Swali 3: Maombi yetu yanaweza kuwa tofauti kwa njia gani tukizingatia sana kuhusu maongezi
yetu na Mungu badala ya kuomba kile tunahitaji?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Yesu alifunza kuhusu mada nyingi- baraka zinazodumu, uzinzi, maombi na mengi zaidi. Ina maana gani kwa watu wa leo? Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.
More
Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg