Mafunzo ya YesuMfano
Chumvi na Nuru
Yesu aongea kuhusu chumvi na mwanga ndiposa kufunza umati wanavyopaswa kuishi.
Swali 1: Itafananaje familia yako kuishi kama chumvi na mwanga?
Swali 2: Ni kitu gani hukuzuia kuacha mwanga wako uangaze mbele ya wengi wakati mwingine?
Ni vikapu vipi vinazuia mwangaza wako.
Swali 3: Tunaweza kufanya nini ili tuwe chumvi na nuru kwa wenzetu?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Yesu alifunza kuhusu mada nyingi- baraka zinazodumu, uzinzi, maombi na mengi zaidi. Ina maana gani kwa watu wa leo? Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.
More
Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg