Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku/ FEBRUARI 2023Mfano

Soma Biblia Kila Siku/ FEBRUARI 2023

SIKU 4 YA 28

Mungu aliwaacha (m.24, 26 na 28)! Njia moja ya Mungu kuidhihirisha hasira yake juu ya uasi na uovu wa watu ni kwa kuwaacha. Wazame katika uovu na waharibike ili ionekane kweli kuwa wamepotea! Mungu hawalazimishi watu. Na wakijua iliyo kweli na haki, hawana udhuru (m.20). Ila hawataki kuifuata iliyo kweli, bali wameamua kufuata tamaa zao na mawazo yao! Hivyo walipotea katika uzushi wao, na mioyo yao yenye ujinga ikatiwa giza. Wakijinena kuwa wenye hekima walipumbazika (m.21-22). Katika upendo wake na utakatifu wake Mungu huyaadhibu maovu. Maana anajua kuwa maovu yanamharibu mtu aliyemwumba kwa mfano wake!

siku 3siku 5

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku/ FEBRUARI 2023

Soma Biblia Kila Siku/Februari 2023 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Februari pamoja na maelezo machache ya kukusaidia kuelewa zaidi neno ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaid...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/

Mipangilio yanayo husiana

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha