Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku/ FEBRUARI 2023Mfano

Soma Biblia Kila Siku/ FEBRUARI 2023

SIKU 23 YA 28

Kifo kinaweza kumpata yeyote bila kujali anaishi maisha matakatifu au maisha ya dhambi. Lakini tukumbuke kuwa tunatakiwa kuacha alama na ushuhuda mzuri tukifa. Inaonekana kwamba Abia, pamoja na kuwa mwana wa mfalme asiyemcha Mungu, yeye mwenyewe aliishi maisha yaliyompendeza Mungu. Kwa hiyo Israeli wote watamlilia, na kumzika, kwa maana ndiye peke yake wa Yeroboamu atakayeingia kaburini; kwa sababu limeonekana ndani yake jambo lililo jema kwa Bwana, Mungu wa Israeli, nyumbani mwa Yeroboamu (m.13). Kumbe hata ukiishi katikati ya jamii inayoabudu miungu, unaweza kufanikiwa kuishi maisha yanayompendeza Mungu. Inawezekanaje? Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi (Yak 4:8).

siku 22siku 24

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku/ FEBRUARI 2023

Soma Biblia Kila Siku/Februari 2023 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Februari pamoja na maelezo machache ya kukusaidia kuelewa zaidi neno ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaid...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/

Mipangilio yanayo husiana

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha