Soma Biblia Kila Siku Januari 2021Mfano
Mashauri ya Paulo yalenga kumtumikia Bwana pasipo kuvutwa na mambo mengine (m.35). Hapo muda wa uchumba ni muhimu. Wahusika wasipoamua katika Bwana na kwa hiari ya moyo jinsi ya kufanya, ndoa inaweza kuwa kizingiti cha kumtumikia Mungu. Familia na mahitaji yake yanazaa kunyang’anya muda na mali za kumtumikia Kristo. Hata hivyo kutokuoa ama kutoolewa hakutoi uhakika wa utumishi wako kwa Mungu. Kumtumikia Mungu kunategemea sana utayari, uaminifu na wito wako kwake Kristo.
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Soma Biblia Kila Siku Januari 2021 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 1 Wakorintho. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Tungependa kushukuru kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi tembelea: http://www.somabiblia.or.tz