Kusikia Kutoka Kwa Mungu Kila AsubuhiMfano
![Kusikia Kutoka Kwa Mungu Kila Asubuhi](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F19381%2F1280x720.jpg&w=3840&q=75)
Mungu Ataihuisha Nafsi Yako
Hunihuisha Nafsi Yangu (ZABURI 23:3)
Kwa kipindi cha muda mrefu, nilikemea chochote ambacho sikutaka kwa sababu nilifikiri lazima kilitoka kwa shetani. Nimesema kwamba nilikemea hadi “mkemeaji” wangu akachoka tu kabisa. Lakini nikagundua kuwa mengi niliyokuwa nikijaribu kukemea yalikuwa yanatoka kwa Mungu. Wingi wa vitu ambavyo sikutaka wala kupenda vilikuwa vitu ambavyo Mungu alikuwa ameruhusu kwa kukua na kustawi kwangu.
Mwandishi wa Waebrania alisema kwamba lazima tujisalimishe kwa marudia ya Mungu. Huturudi tu kwa kuwa anatupenda. Usijaribu kupinga kitu ambacho Mungu anakusudia kutumia kwa sababu ya unyofu wako. Mwambie Mungu kufanya kazi yenye uketo na kamilifu ndani yako ili uwe kila kitu anachotaka uwe, ufanye kila anachotaka ufanye, na kuwa na vyote anavyotaka uwe navyo. Katika miaka yangu ya kupinga chochote kilichonitia uchungu au kunitatiza, ukweli ni kwamba sikukua kiroho. Nilizidi kuzunguka na kuzunguka mlima huo huo (matatizo) wa kale. Mwishowe, nikagundua kuwa nilikuwa najaribu kuepuka uchungu, na hata hivyo nilikuwa na uchungu. Uchungu wa kuishi jinsi tulivyo ni mbaya sana kuliko uchungu wa kuleta mabadiliko.
Nafsi yetu ni roho zetu (fikra, hiari na hisia), lakini hujeruhiwa na tajriba za ulimwengu kila mara. Mungu anaahidi kuhuisha roho zetu iwapo tutashirikiana na kazi ya Roho Mtakatifu ndani yetu. Nilikuwa na roho iliyovunjika na ambayo ilikosa furaha wala amani, lakini Mungu amenifanya kuwa mkamilifu na anataka kukufanyia vivyo hivyo
NENO LA MUNGU KWAKO LEO
Fungua roho yako kwa Bwana na umwambie akuponye kila kidonda na alama ya pigo.
Andiko
Kuhusu Mpango huu
![Kusikia Kutoka Kwa Mungu Kila Asubuhi](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F19381%2F1280x720.jpg&w=3840&q=75)
Ibada hii inatoa mawaidha mafupi, yenye kuwezesha ambayo yatakuhimiza na kukusaidia kupanga wakati na Mungu kipaumbele chako cha juu, kukuza hamu ya muda wa kila siku naye, kuelewa majibu yake kwa maombi yako, na kudumisha uhusiano wako huku ukitumia wakati wa kibinafsi zaidi na Mungu. Anza siku yako na mtu ambaye hakupendi tu bali pia ana majibu yote ambayo utawahi kuhitaji!
More
Tunapenda kuwashukuru Joyce Meyer Mawaziri kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://tv.joycemeyer.org/kiswahili/
Mipangilio yanayo husiana
![Ibada juu ya Vita vya Akilini](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F21337%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Ibada juu ya Vita vya Akilini
![Kuwa Karibu Na Mungu Kila Siku](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F26551%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Kuwa Karibu Na Mungu Kila Siku
![Soma Biblia Kila Siku 11/2020](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F22531%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Soma Biblia Kila Siku 11/2020
![Upendo Wa Bure](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F26579%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Upendo Wa Bure
![Moyo - Neno La Mungu Hugeuza Moyo](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F22660%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Moyo - Neno La Mungu Hugeuza Moyo
![Roho Mtakatifu - Tuna Uwezo Wa Kuwaka Moto Au La?](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F26578%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Roho Mtakatifu - Tuna Uwezo Wa Kuwaka Moto Au La?
![Soma Biblia Kila Siku Machi 2021](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F24503%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Soma Biblia Kila Siku Machi 2021
![MWANGA Kuvutiwa Maishani Na Mwanga Ajabu Wa Mungu](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F21139%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
MWANGA Kuvutiwa Maishani Na Mwanga Ajabu Wa Mungu
![Soma Biblia Kila Siku Julai 2021](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F26577%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Soma Biblia Kila Siku Julai 2021
![Soma Biblia Kila Siku 07/2020](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F20586%2F320x180.jpg&w=640&q=75)