Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 7Mfano

Soma Biblia Kila Siku 7

SIKU 6 YA 31

Danieli anaendelea kuoneshwa jinsi mwisho wa mataifa yaliyovuma kwa ajili ya nguvu zao za kijeshi utakavyokuwa uangamivu (ling. Mit 16:18, Kiburi hutangulia uangamivu; Na roho yenye kutakabari hutangulia maanguko). Wenye nguvu wataunda mshikamano baina yao, lakini mapatano hayo nayo hayatadumu. Watashindwa kwa sababu watategemea nguvu zao, uwezo wao wa kijeshi na sanamu za miungu yao. Watashindwaje? Watapigana wao kwa wao. Maono haya yanaleta picha halisi ya ugomvi usioisha baina ya mataifa ya mashariki ya kati. Vita hiyo haiishi pasipo Mungu kuingilia kati.

siku 5siku 7

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 7

Soma Biblia Kila Siku 7 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku pamoja na maelezo yatakayokusaidia kuelewa zaidi.

More

Tungependa kushukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz