Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 4Mfano

Soma Biblia Kila Siku 4

SIKU 11 YA 30

Siku hizo saba zilizotajwa katika m.6 ambapo Wayahudi walitakiwa wale mikate isiyochachwa huitwa sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, iitwayo Sikukuu ya Pasaka(Lk 22:1). Maana yake ni kwamba mwishoni mwa sikukuu hiyo Wayahudi walikula mlo wa pasaka (siku ya saba, m.6). Katika Kutoka 12:11 pameelezwa maana ya kula mikate kwa namna hii: Iwe mfano wa kula kwa haraka, wawe tayari kuondoka. Desturi hii ni mfano kwetu: Kila wakati tuwe tayari kuondokahapa duniani, maana siku itakuja tutakapochukuliwa na malaika na kumlaki Yesu angani!

siku 10siku 12

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 4

Soma Biblia Kila Siku 4 inakupa mpango wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu, hasa kutoka Kitabu cha Kutoka, na 1 Wathesalonike, pamoja na maelezo juu ya somo hilo.

Tungependa kushukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha