Soma Biblia Kila Siku 1Mfano

Je, wewe unataka kufanya mapenzi ya Mungu? Unajua ni nini hasa? Yesu anasema ndiyo kumwamini yeye (m.29). Kumwamini Yesu ni sawa na sisi kwenda kwake kwa njia ya maombi na kula chakula chake. Yesu anatusihi tusikishughulikie chakula cha mwili tu, bali hasa hicho kitokacho mbinguni na kumpa kila anayekila uzima wa milele. Mwenyewe ndiye chakula hicho (m.35). Tukimwamini Yesu hutushughulikia katika yote. Hatutaona njaa ya kiroho na siku ya mwisho atatufufua kimwili ili tuwe kwake milele.
Andiko
Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 1 inakupa mpango wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu, hasa kutoka Injili ya Yohana, pamoja na maelezo juu ya somo hilo.
More
Tungependa kushukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz
Mipangilio yanayo husiana

Soma Biblia Kila Siku 06/2020

Soma Biblia Kila Siku 8

Upendo Wa Bure

Roho Mtakatifu - Tuna Uwezo Wa Kuwaka Moto Au La?

Injili Ulimwenguni - Sehemu 1

Soma Biblia Kila Siku 4

Uamuzi Mkubwa Zaidi wa Maisha Yako!

MWANGA Kuvutiwa Maishani Na Mwanga Ajabu Wa Mungu

Soma Biblia Kila Siku Julai 2021
