Soma Biblia Kila Siku 1Mfano
![Soma Biblia Kila Siku 1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F13672%2F1280x720.jpg&w=3840&q=75)
Walipotaka kumfanya awe mfalme, Yesu hakutaka na akawatoroka (m.15). Bwana Yesu alikataa milki za ulimwengu na fahari zake zote. Kwa nini alikataa? Soma Yesu mwenyewe alivyoeleza katika Yn 18:36-37! Ishara za kutembea juu ya maji bila kuzama na kushinda tatizo la umbali zinaonyesha Yesu yu mkuu sana, na yuko juu zaidi ya kanuni za asili na maumbile za dunia hii. Hakika Yesu ni Bwana, na ufalme wake sio wa ulimwengu huu! Sote tumpokee maishani mwetu kama wanafunzi walivyompokea chomboni.
Andiko
Kuhusu Mpango huu
![Soma Biblia Kila Siku 1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F13672%2F1280x720.jpg&w=3840&q=75)
Soma Biblia Kila Siku 1 inakupa mpango wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu, hasa kutoka Injili ya Yohana, pamoja na maelezo juu ya somo hilo.
More
Tungependa kushukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz
Mipangilio yanayo husiana
![Soma Biblia Kila Siku 06/2020](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F20085%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Soma Biblia Kila Siku 06/2020
![Soma Biblia Kila Siku 8](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F16037%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Soma Biblia Kila Siku 8
![Upendo Wa Bure](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F26579%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Upendo Wa Bure
![Roho Mtakatifu - Tuna Uwezo Wa Kuwaka Moto Au La?](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F26578%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Roho Mtakatifu - Tuna Uwezo Wa Kuwaka Moto Au La?
![Injili Ulimwenguni - Sehemu 1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F14735%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Injili Ulimwenguni - Sehemu 1
![Soma Biblia Kila Siku 4](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F14800%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Soma Biblia Kila Siku 4
![Uamuzi Mkubwa Zaidi wa Maisha Yako!](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F15260%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Uamuzi Mkubwa Zaidi wa Maisha Yako!
![MWANGA Kuvutiwa Maishani Na Mwanga Ajabu Wa Mungu](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F21139%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
MWANGA Kuvutiwa Maishani Na Mwanga Ajabu Wa Mungu
![Soma Biblia Kila Siku Julai 2021](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F26577%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Soma Biblia Kila Siku Julai 2021
![Soma Biblia Kila Siku 2](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F14087%2F320x180.jpg&w=640&q=75)