40 Siku pamoja na YesuMfano
Shetani anamjaribu Yesu
Luka 4:1-13
- Taja aina tatu za majaribu aliyoyapata Yesu
- Yesu alijibu nini kwa kila jaribu?
- Je, najaribiwaje?
- Ni kwa namna gani najibu?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Ni kitu gani ambacho Bwana Yesu anakithamini na kukihesabu kama ujira? Bwana Yesu ananiambia nini?
More
Tungependa kumshukuru MentorLink kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.mentorlink.org/index.php/resources/days-with-jesus/