40 Siku pamoja na YesuMfano
Ubatizo wa Yesu
Luka 3:1-23
- Je, Yohana aliweza kuufanyia kazi ujumbe wake kwa wasikilizaji wengi?
- Yohana alisema nini juu ya Yesu?
- Je, ni Kwa jinsi gani Mungu na Roho Mtakatifu waliuthibitisha ubatizo wa Yesu?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Ni kitu gani ambacho Bwana Yesu anakithamini na kukihesabu kama ujira? Bwana Yesu ananiambia nini?
More
Tungependa kumshukuru MentorLink kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.mentorlink.org/index.php/resources/days-with-jesus/