Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

40 Siku pamoja na YesuMfano

40 Siku pamoja na Yesu

SIKU 2 YA 40

Kuzaliwa kwake kwa Miujiza

Luka 1:3 - 2:18

  1. Bikira Mariamu anawezaje kuwa mfano mzuri wa kuigwa?
  2. Je, Wachungaji waliitikiaje?
  3. Je, naweza kuitikia mara nisikiapo Neno La Mungu?
siku 1siku 3