40 Siku pamoja na YesuMfano
Unyenyekevu wa kweli
Luka 18:10-14
- Je, nafikiri ni kitu gani kinachonifanya nikubalike kwa Mungu?
- Je, unyenyekevu wa kweli unaonekanaje?
- Ni mambo gani natakiwa kuyabadilisha?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Ni kitu gani ambacho Bwana Yesu anakithamini na kukihesabu kama ujira? Bwana Yesu ananiambia nini?
More
Tungependa kumshukuru MentorLink kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.mentorlink.org/index.php/resources/days-with-jesus/