40 Siku pamoja na YesuMfano
Kuchagua wanafunzi kumi na mbili
Luka 5:27-28, 6:12-16
- Ni kwa namna ipi Yesu alichagua wale wanafunzi wake kumi na mbili waliokuwa karibu yake?
- Wakati Yesu anasema "Nifuate" ina maana gani kwangu?
- Natumiaje ile njia aliyoitumia Yesu katika kufanya uchaguzi?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Ni kitu gani ambacho Bwana Yesu anakithamini na kukihesabu kama ujira? Bwana Yesu ananiambia nini?
More
Tungependa kumshukuru MentorLink kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.mentorlink.org/index.php/resources/days-with-jesus/