Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

40 Siku pamoja na YesuMfano

40 Siku pamoja na Yesu

SIKU 13 YA 40

Kusamehewa na kukemea

Luka 7:36-50

  1. Ni kwa jinsi gani matendo ya yule mwanamke yalibadilisha mwelekeo wa kila kitu?
  2. Ni kwa namna gani matendo na mitazamo ya wale Mafarisayo yalitofautiana  na matendo ya yule mwanamke?
  3. Je, napata changamoto gani kutoka kwa Yesu ambazo zinanifanya nami nibadilike?
siku 12siku 14