40 Siku pamoja na YesuMfano
Mfano wa taa
Luka 8:16-18
- Ni kitu gani ninachoficha?
- Je, niko tayari kuyaweka yote kwenye mwanga?
- Ni katika hali gani ninaweza kumsikiliza Mungu?
- Je, ninafanyia nini yale ambayo nayasikia?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Ni kitu gani ambacho Bwana Yesu anakithamini na kukihesabu kama ujira? Bwana Yesu ananiambia nini?
More
Tungependa kumshukuru MentorLink kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.mentorlink.org/index.php/resources/days-with-jesus/