40 Siku pamoja na YesuMfano
Utambulisho wa kweli wa Yesu
Luka 9:18-22
- Ni sauti zipi tano zinazomzungumzia Yesu?
- Bwana Yesu akiniuliza "Yeye ni Nani?" Jibu langu litakuwa la aina gani?
- Je, ninawaambia wengine kuwa Yeye ni nani?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Ni kitu gani ambacho Bwana Yesu anakithamini na kukihesabu kama ujira? Bwana Yesu ananiambia nini?
More
Tungependa kumshukuru MentorLink kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.mentorlink.org/index.php/resources/days-with-jesus/