40 Siku pamoja na YesuMfano
Maombi na woga
Luka 11:9-13, 12:22-28
- Ni kitu gani kimejumuishwa kwenye "Omba, Tafuta na Kubisha?"
- Ni kwa namna gani naweza kuonyesha imani yangu katika maombi?
- Ninawezaje kubadilisha tabia yangu ya woga kwenye maombi?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Ni kitu gani ambacho Bwana Yesu anakithamini na kukihesabu kama ujira? Bwana Yesu ananiambia nini?
More
Tungependa kumshukuru MentorLink kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.mentorlink.org/index.php/resources/days-with-jesus/