Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

40 Siku pamoja na YesuMfano

40 Siku pamoja na Yesu

SIKU 25 YA 40

Vita katika ufalme

Luka 12:10-16

  1. Ni kwa njia ipi Mafarisayo waliweza kuulinda utaratibu mzima wa dini?
  2. Je, kuna tofuti gani kati ya utaratibu wa kidini na ufalme?
  3. Ni kwa nini Yesu anakabiliana na taratibu zilizowekwa?
siku 24siku 26