40 Siku pamoja na YesuMfano
Msamaria mwema
Luka 10:25-37
- Kwa nini wale viongozi wawili wa dini walionyesha tofauti kubwa ukilinganisha na yule msamaria?
- Katika njia yangu, ni nani aliye na uhitaji wa haraka?
- Je, nitafanya jambo gani leo?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Ni kitu gani ambacho Bwana Yesu anakithamini na kukihesabu kama ujira? Bwana Yesu ananiambia nini?
More
Tungependa kumshukuru MentorLink kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.mentorlink.org/index.php/resources/days-with-jesus/