Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

40 Siku pamoja na YesuMfano

40 Siku pamoja na Yesu

SIKU 31 YA 40

Mamlaka ya Yesu

Luke 20:1-26

  1. Yesu alidhihirishaje Mamlaka yake?
  2. Kwa nini Yesu alizungumza habari ya kujifunua kwake katika siku za mwisho?
  3. Ni nafasi ipi ambayo nimempa Yesu katika maisha yangu?
  4. Ni maeneo yapi ambayo sijayatoa kwake?
siku 30siku 32