40 Siku pamoja na YesuMfano
Kusulubiwa
Luka 23:25-43
- Kwa nini Bwana yesu, Mwana Kondoo wa Mungu, alivumilia hadi msalabani?
- Hebu fikiria Yesu yuko juu ya msalaba, ananiangalia mimi katikati ya watu, je, ninajisikiaje na nafikiria nini?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Ni kitu gani ambacho Bwana Yesu anakithamini na kukihesabu kama ujira? Bwana Yesu ananiambia nini?
More
Tungependa kumshukuru MentorLink kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.mentorlink.org/index.php/resources/days-with-jesus/