40 Siku pamoja na YesuMfano
Kifo cha Yesu
Luka 23:44-56
- Je, maneno ya Yesu pale msalabani yananipa tumaini lolote?
- Kama ningekuwa mmojawapo wa wale wanafunzi kumi na mbili au wale wanawake, je, ningefikiria nini au ningejisikiaje?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Ni kitu gani ambacho Bwana Yesu anakithamini na kukihesabu kama ujira? Bwana Yesu ananiambia nini?
More
Tungependa kumshukuru MentorLink kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.mentorlink.org/index.php/resources/days-with-jesus/