40 Siku pamoja na YesuMfano
Amefufuka
Luka 23:56 - 24:50
- Ni unabii upi na ahadi zipi zilizotolewa juu ya Ufufuko wake?
- Kama ningalikuwapo, je, ningejisikiaje au kufikiriaje wakati nitakapomwona Yesu
- Ni kwa jinsi gani Yesu alihitaji ujumbe wa ufalme wake uenee?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Ni kitu gani ambacho Bwana Yesu anakithamini na kukihesabu kama ujira? Bwana Yesu ananiambia nini?
More
Tungependa kumshukuru MentorLink kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.mentorlink.org/index.php/resources/days-with-jesus/