40 Siku pamoja na YesuMfano
Chakula cha mwisho
Luka 22:7-23
- Ni kitu gani kinachofunua uhusiano mzuri kati ya Yesu na wanafunzi wake kumi na mbili?
- Je, Bwana Yesu alimchukuliaje msaliti wake?
- Kwa nini Chakula cha Bwana ni cha muhimu sana?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Ni kitu gani ambacho Bwana Yesu anakithamini na kukihesabu kama ujira? Bwana Yesu ananiambia nini?
More
Tungependa kumshukuru MentorLink kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.mentorlink.org/index.php/resources/days-with-jesus/