40 Siku pamoja na YesuMfano
Maswala ya Fedha
Luka 19:45 - 21:4
- Je, yale aliyoyatenda Yesu yananipa changamoto gani?
- Je, fedha zinawezaje kubadilisha matamanio yangu ya kuishi vizuri na Mungu?
- Vipaumbele vyangu ni vipi katika kutoa na kupokea fedha?
Kuhusu Mpango huu
Ni kitu gani ambacho Bwana Yesu anakithamini na kukihesabu kama ujira? Bwana Yesu ananiambia nini?
More
Tungependa kumshukuru MentorLink kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.mentorlink.org/index.php/resources/days-with-jesus/