Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 21:1-4

Lk 21:1-4 SUV

Akainua macho yake akawaona matajiri wakitia sadaka zao katika sanduku la hazina. Akamwona mjane mmoja maskini akitia mle senti mbili. Akasema, Hakika nawaambia, huyu mjane maskini ametia zaidi kuliko wote; maana, hao wote walitia sadakani katika mali iliyowazidi, bali huyu katika umaskini wake ametia vyote alivyokuwa navyo.

Soma Lk 21

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Lk 21:1-4