40 Siku pamoja na YesuMfano
Zakayo
Luka 19:1-10
- Shauku aliyokuwa nayo Zakayo inanipa changamoto gani?
- Je, matumizi yangu ya fedha yanahusianaje moyo wangu?
- Ni jambo gani anataka nilibadilishe?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Ni kitu gani ambacho Bwana Yesu anakithamini na kukihesabu kama ujira? Bwana Yesu ananiambia nini?
More
Tungependa kumshukuru MentorLink kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.mentorlink.org/index.php/resources/days-with-jesus/