40 Siku pamoja na YesuMfano

Watu wa ufalme
Luka 13:18-19
- Ni watu wa aina gani ambao Yesu aliwapa kipaumbele?
- Je, vipaumbele vyangu vinaweza kufanana na vya Yesu?
- Ni kwa namna gani ufalme wake unaweza kukua?
Andiko
Kuhusu Mpango huu

Ni kitu gani ambacho Bwana Yesu anakithamini na kukihesabu kama ujira? Bwana Yesu ananiambia nini?
More
Tungependa kumshukuru MentorLink kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.mentorlink.org/index.php/resources/days-with-jesus/