40 Siku pamoja na YesuMfano
Kulishwa kwa watu 5000
Luka 9:11-17
- Ninapaswa kutoa nini?
- Ni katika hali gani ninasema , "Sina vya kutosha?"
- Ni vitu gani ninavyotegemea Bwana Yesu aviongeze?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Ni kitu gani ambacho Bwana Yesu anakithamini na kukihesabu kama ujira? Bwana Yesu ananiambia nini?
More
Tungependa kumshukuru MentorLink kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.mentorlink.org/index.php/resources/days-with-jesus/