Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

40 Siku pamoja na YesuMfano

40 Siku pamoja na Yesu

SIKU 19 YA 40

Mtu mwenye mapepo

Luka 8:27-39

  1. Ni kwa nini mapepo yanamwogopa Yesu?
  2. Yesu aliweka thamani kiasi gani ndani ya maisha ya mtu mmoja?
  3. Kwa nini Yesu alimwambia yule mtu aliyeponywa aende nyumbani?
siku 18siku 20