Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

40 Siku pamoja na YesuMfano

40 Siku pamoja na Yesu

SIKU 15 YA 40

Swali la Yohana

Luka  7:18-23

  1. Kitendo cha Yesu kufufua watu kinanifundisha  kuhusu Yeye ni nani?
  2. Nikiwa kwenye wakati mgumu, ninakuwa na mashaka kwamba Yesu ni nani?
  3. Maswali yangu ya ukweli ni yapi na ninahitaji uthibitisho upi?
siku 14siku 16