40 Siku pamoja na YesuMfano
Hotuba ya mlimani (Sehemu 1)
Luka 6:24-27
- Je, Bwana Yesu ananifundisha nini kwenye uhusiano wangu?
- Ni mambo gani anayoniambia kuhusiana na mali zangu?
- Ananipa changamoto gani kuhusu ujira wangu?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Ni kitu gani ambacho Bwana Yesu anakithamini na kukihesabu kama ujira? Bwana Yesu ananiambia nini?
More
Tungependa kumshukuru MentorLink kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.mentorlink.org/index.php/resources/days-with-jesus/