40 Siku pamoja na YesuMfano
Kufufuliwa wafu
Luka 8:41-56
- Je, ninapeleka mahitaji ya familia au marafiki zangu kwa Yesu?
- Yesu aliletaje tumaini?
- Ninahitaji kuwa na matumaini katika mahusiano ya namna gani?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Ni kitu gani ambacho Bwana Yesu anakithamini na kukihesabu kama ujira? Bwana Yesu ananiambia nini?
More
Tungependa kumshukuru MentorLink kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.mentorlink.org/index.php/resources/days-with-jesus/