40 Siku pamoja na YesuMfano
Huduma ya Yesu
Luka 4:16-31
- Je, mimi ni jasiri wa kusema ukweli?
- Je, ni natitoa kwa kiasi gani ili kutimiza wito na huduma yangu?
- Ninaitikiaje wakati Yesu anapozungumza nami?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Ni kitu gani ambacho Bwana Yesu anakithamini na kukihesabu kama ujira? Bwana Yesu ananiambia nini?
More
Tungependa kumshukuru MentorLink kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.mentorlink.org/index.php/resources/days-with-jesus/