Oswald Chambers: Furaha- Nguvu katika BwanaMfano
Katika hatua fulani za maisha ya kiroho tunapata dhana potovu kwamba chote ambacho tunacho, lazima tuviache. Katika Biblia maana ya dhabihu ni huo utoaji kimakusudi wa mali yangu bora zaidi kwa Mungu ili iwe yake na yangu milele: ikiwa nitayashikilia nitayapoteza, naye pia Mungu anayapoteza. Mungu alimwambia Ibrahimu atoe Isaka sadaka ya kuteketezwa, na Ibrahimu alitafsiri amri hilo kuwa amwue mwana wake. Lakini katika Mlima Moria Ibrahimu alipoteza tamaduni duni na kupokea ujuzi wa kweli kuhusu maana ya sadaka ya kuteketezwa: tambiko iliyo hai (Warumi 12:1-2). Inaonekana kama lazima tuache kila kitu, kupoteza mali yetu yote, na badala ya Ukristo kuleta furaha na usahili, inatuhuzunisha; mpaka ghafla tunagundua kuwa lengo la Mungu ni kwamba lazima tushiriki katika ukufunzi wetu wa maadili, na tunafanya hivi kupitia dhabihu ya mwili kwa roho kupitia utiifu, si kukana mwili, bali kuifanya iwe tambiko.
Maswali ya Kutafakari: Ninashikilia dhana zipi duni kuhusu Mungu ambazo zinznifanya nisiwe na furaha?
Dondoo imetoka "He Shall Glorify Me", © Discovery House Publishers
Maswali ya Kutafakari: Ninashikilia dhana zipi duni kuhusu Mungu ambazo zinznifanya nisiwe na furaha?
Dondoo imetoka "He Shall Glorify Me", © Discovery House Publishers
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Gundua hekima ya Oswald Chambers, mwandishi wa "My Utmost for His Highest", katika mkusanyiko huu wa hazina ambao unatoa ufahamu kuhusu furaha. Kila somo lina dondoo kutoka Chambers na maswali ya kutafakari kibinafsi. Akitumia hekima sahili na dhahiri kutoka Biblia kukupa motisha na changamoto, utaanza kutamani kuwasiliana zaidi na Mungu.
More
We would like to thank Discovery House Publishers for providing this plan. For more information, please visit: www.utmost.org