Oswald Chambers: Amani - Maisha kwenye RohoMfano
Kuna wakati na ustaarabu unatokea baada ya mda inatupwa kwenye lundo na Mungu katika njia ya ajabu ya kutokujali. Cha ajabu ni rekodi ya miaka ni kwa kila mwaka unaisha na janga fulani. Mtakatifu anajua Mungu anatawala, na mawingu ni vumbi la miguu ya Baba yake na hakuna haja ya kuogopa. Ana uhakika majanga haya yanatokea lakini ni kawaida na kuna amani sana na tabia ya usafi itakuwa jibu la daima. Historia ni kutimiza unabii kwa muda wote.
Njia ya amani kwetu ni kujiweka kwa Mungu na kumuomba atu chunguze, sio tunavyofikiri tulivyo au ambavyo wengine wanahisi tulivyo au tunavyojidhania tulivyo au tungependa lakini " Nichunguze ee Mungu, Unijue na uniongoze kwenye njia ya milele."
Maswali ya Tafakari: kuanguka kwa madikteta inaashiria nini katika ufanisi wa amani iliyowekwa kwa watu? Historia inaniambia nini kuhusu majaribio ya binadamu kutengeneza amani?
Nukuu kutoka God’s Workmanship and Biblical Psychology, © Discovery House Publishers

Andiko
Kuhusu Mpango huu
Amani: Maisha ya Roho ni hazina ya msukumo ya nukuu kutoka kwenye kazi za Oswald Chambers, mwandishi mpendwa ulimwenguni wa ibada na mwandishi wa My Utmost for His Highest. Pata mapumziko kwa Mungu na pata uelewa zaidi wa umuhimu wa amani ya Mungu kwenye maisha yako.
More
Tungependa kushukuru Huduma ya Discovery House Publishers kwa kutoa mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea: www.utmost.org