Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Oswald Chambers: Amani - Maisha kwenye RohoMfano

Oswald Chambers: Peace - Life in the Spirit

SIKU 25 YA 30

Wetu wengi hawaoni kosa, na majadiliano kuhusu nabii kama Yeremia ni upuuzi. Hatuwezi kukabiliana na vitu vya makosa, mbali na Mungu, bila kupata wazimu. Kama dhambi ni kitu ambacho si muhimu na tuna hubiri kuponya watu na kuleta amani katika njia nyingine, basi kifo msalabani ni kosa. Kuishi maisha ya kujificha katika Yesu ndani ya Mungu ina maanisha tunaona ambavyo binadamu wapo bila Mungu, katika msimamo wa Mungu, na ina maanisha pia kuwaombea wakiwa wanatuangalia kwa huruma.

Safisha makosa yangu yaliyojificha. Mtoe mtumishi wako katika dhambi za kujivunia. Ili niweze kuona amani na usafi ulio onyesha ndani yangu.

Maswali ya Tafakari: Kwanini ni lazima tujue makosa kabla hatujawa sawa? Kwanini haiwezekani kuweka amani wakati kuna dhambi sasa? Kwanini usafi unahitajika kwa amani?

Nukuu kutoka Kumbukumbu ya Yeremia na Hodi kwenye mlango wa Mungu, © Discovery House Publishers
siku 24siku 26

Kuhusu Mpango huu

Oswald Chambers: Peace - Life in the Spirit

Amani: Maisha ya Roho ni hazina ya msukumo ya nukuu kutoka kwenye kazi za Oswald Chambers, mwandishi mpendwa ulimwenguni wa ibada na mwandishi wa My Utmost for His Highest. Pata mapumziko kwa Mungu na pata uelewa zaidi wa umuhimu wa amani ya Mungu kwenye maisha yako.

More

Tungependa kushukuru Huduma ya Discovery House Publishers kwa kutoa mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea: www.utmost.org